Ahmed amesema Fountain wana changamoto ya usajili wa wachezaji wake kwahiyo walijiona wapo wachache na kupambana dakika zote na kutupa upinzani mkubwa ingawa tulikuwa bora zaidi yao.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed achambua viwango vya wachezaji wetu wote waliocheza mechi ya jana.