Ahmed amesema kuanzia mlinda mlango, Mamadou Djibrilla mlinzi wa kushoto Nickson Kibabage, Clatous Chama Ismail Toure, Libasse Gueye pamoja na Anicet Oura wote wameonyesha watakuwa msaada mkubwa kwa timu na watairejesha katika makali yake.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia mchezo unaofuata dhidi ya ES Tunis.