Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awapa kongole Wachezaji ushindi dhidi ya Mbeya City

13 Apr 2025

Ahmed amesema haikuwa mechi rahisi kutoka na City kuwa na wachezaji bora na wenye uzoefu pamoja na benchi la ufundi imara lakini tuliweza kuwadhibiti na kufanikiwa kutinga nusu fainali.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ameweka wazi utaratibu utakavyokuwa kuelekea mchezo wetu wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story