Ahmed amesema leo tumecheza mechi ya 17 na bado tumesalia na michezo mingine 13 hivyo matokeo haya hayapaswi kututoa mchezoni badala yake tunapawa kuwa wamoja na kushikamana ili kuisaidia timu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amewaomba mashabiki kuacha kumlaumu Ladaki Chasambi badala yake waendelee kumtia moyo.