Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awamwagia sifa wachezaji ushindi dhidi ya TRA

1 Mar 2024

Ahmed amesema wachezaji wengi waliocheza hawapati namba mara kwa mara lakini wamejitoa kuhakikisha tunapata ushindi.

Tazama Mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kiwango bora alichoonyesha winga Ladaki Chasambi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story