Ahmed amesema hakutugemea kupata ushindi mnono kama huo kutokana na ubora wa wapinzani lakini wachezaji walijituma na kufanikisha kupata pointi tatu ugenini.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu ugumu wa viwanja vya mikoani.