Ahmed amesema Simba tuliyokuwa tunaitaka tumeipata na katika mchezo wa jana tulikuwa na uwezo wa kushinda mpaka mabao nane.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amewaita mashabiki kujitokeza kwa wingi katika dimba la Benjamin Mkapa kuweka heshima dhidi ya Stade Malien.