Simba Sports Club
News

VIDEO: Ahmed awamwagia sifa wachezaji sare mbili na Azam

9 Feb 2024

Ahmed amesema Azam walikuwa wanacheza kwa kujiangusha na kupoteza muda lakini wachezaji walipambana hadi mwisho na kusawazisha.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amefunguka mengi kuhusu na timu na mipango ya mechi inayofuata.

Advertisement
Back to homepage
Share this story