Ahmed amesema benchi la ufundi chini ya Kocha Mgunda linerejesha heshima na sasa timu imejipata kuelekea kumalizika kwa msimu na lengo letu ni kushinda kila mchezo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, nahodha Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' azungumza kuhusu siri ya ushindi.