Ahmed amesema Fred Michael ameanza kwa kusaidia kupatikana bao (Assist) wakati Pa Omar Jobe akipiga bao la nne ambalo amelitaja kama 'Bao la AFCON'.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia timu kuondoka kuelekea Kigoma tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa.