Ahmed amesema haikuwa mechi rahisi kwakuwa tumekutana na wachezaji wenye majina makubwa na presha ilikuwa kubwa lakini wameweza kuhimili na kuhakikisha tunapata tiketi ya kushiriki AFCON.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia jinsi mchezo kamili ilivyokuwa.