Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awaita Wanasimba kwa Mkapa siku ya Alhamisi

23 Sep 2025

Ahmed amesema ni vizuri kuweka historia ya kushuhudia timu yako ikicheza mechi ya kwanza ya Ligi ambayo pia tutaitumia kuwatangaza wachezaji wapya kama Jonathan Sowah, Neo Maema, Rushine De Reuck na wengineo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu ujio wa kocha Hemed Suleiman 'Morocco'.

Advertisement
Back to homepage
Share this story