Ahmed amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi kwakuwa haitapendeza kuomba uwanja mkubwa na watu wakawa wachache kitu ambacho wakati mwingine tukihitaji tunaweza tusipewe tena dimba la Benjamin Mkapa.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed ametamba vilivyo kuhusu mchezo wa kesho mbele Mkuu wa kitengo cha Habari wa Azam, Zaka Zakazi.