Ahmed anaendelea na zoezi la hamasa kuelekea mchezo huo mkubwa na Leo alikuwa Temeke ambapo amesema kama tukiendelea na mshikamano huu na kujitokeza kwa wingi uwanjani tuna nafasi kubwa ya kufuzu nusu fainali.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu taratibu wa mchezo utakavyokuwa.