Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awaita Wanasimba kwa Mkapa

23 Feb 2025

Ahmed amesema Uongozi umeuomba Uwanja huo ili kuwezesha mashabiki wengi kuingia kutokana na ukubwa wa mchezo husika hivyo kila Mwanasimba anatakiwa kujitokeza.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia hali ya kikosi huku akiwataja Yusuph Kagoma na Elie Mpanzu kuutaza zaidi mchezo huo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story