Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awaita Wanasimba katika Mkutano Jumapili

3 Oct 2024

Ahmed amewakumbusha Wanachama kuhakikisha wanalipia kadi zao mapema ili kupata uhalali wa kushiriki Mkutano huo muhimu kwa ajili ya maendeleo ya klabu.

Tazama video hii hadi mwisho kuona kila kitu alichosema Ahmed kuelekea Mkutano huo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story