Ahmed amesema maandalizi yote ya mchezo yamekamilika na wachezaji wote wapo kwenye hali, morali zao zipo juu na kila mmoja anafahamu umuhimu wa alama tatu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho licha ya Ahmed kutoa ahadi ya ushindi pia amesema mashabiki watapata burudani huku akiweka wazi kuwa nyota Inno Jospin Loemba na Anicet Oura watakuwepo.