Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed awahakikishia ushindi wa asilimia 100 wana Ruangwa

18 Feb 2025

Ahmed amesema pamoja na ubora walionao na Namungo kwa sasa huku pia tukishindwa kupata alama tatu katika miaka miwili mfululizo dhidi yao lakini kesho ni siku ya Wanasimba kufurahi kutokana na ubora wa kikosi tulionao pamoja na Uongozi madhubuti.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed ametoa ujumbe mzito kwa mashabiki wetu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story