Ahmed amesema mshambuliaji Fred Michael amekamilika kila idara na anaweza kufunga katika kila staili huku akisema Pa Omar Jobe nae ni moto wa kuotea mbali.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amewaomba Wanasimba kuwaombea dua ili wafanye vizuri.