Ahmed amesema kumetokea changamoto katika ununuaji kwa njia za mitandao ya simu hivyo basi amewaomba mashabiki kutumia Wakala wa CRDB na NBC kupata tiketi.
Tazama video hii mpaka mwisho, Ahmed amezungumzia pia kuongezwa kwa tiketi za Platinum.