Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed atoa sababu ya mechi zetu kupelekwa Arusha

22 May 2024

Ahmed amesema Uwanja wetu wa nyumbani tuliokuwa tunatumia ni Azam Complex lakini sasa Azam FC wenyewe watajitaji kuutumia hivyo sisi tumeamua kuwapelekea Wanasimba wa Arusha timu yao ambao hawajawaona kwa muda mrefu.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia mchezo wa mwisho tuliocheza katika Uwanja huo ambao tuliibuka na ushindi mnono.

Advertisement
Back to homepage
Share this story