Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed atoa ratiba nzima baada ya timu kurejea Dar

20 Mar 2026

Ahmed amesema kutokana na ugumu wa ratiba hakuna muda wa kupumzika hivyo wachezaji wetu itabidi wapambane na kwakuwa malengo yetu ni kuhakikisha tunashinda.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amefunguka pia kurejea kikosini kwa mshambuliaji, Seleman Mwalimu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story