Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed atoa maelekezo ya Uwanja wa KMC.

16 Aug 2024

Ahmed amesema viingilio vitakuwa vya aina mbili pekee VIP Sh. 15,000 na Mzunguko Sh. 10,000 kwakuwa tunafahamu Uwanja unaingiza idadi ndogo ya mashabiki.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu hali ya kikosi huku akimtaja mshambuliaji mpya Leonel Ateba.

Advertisement
Back to homepage
Share this story