Ahmed amesema msimu uliopita kulitokea vurugu na kuwafanya wachezaji wetu kushindwa kufanya mazoezi kwa utulivu kama kanuni zinavyoagiza baada ya Viongozi wa Pamba kuvamia kitu ambacho amekiomba pia kwa Wasimamizi kusimamia vema.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumza mengi kuelekea mchezo huo.