Katika mazungumzo hayo Ahmed amewasisitiza kujitokeza kwa wingi uwanjani siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amesema pia kama Wanasimba tukiungana hakuna namna yoyote tutazikosa pointi tatu za KMC.