Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed ataja siku ya 'kushusha vifaa vipya'

23 Jul 2025

Ahmed amesema kwa sasa tupo kwenye hatua za kumalizana na wachezaji tunaowaacha ambao wamebaki kama watatu kabla ya kuanza kushusha vifaa vipya.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia tarehe ya timu kuanza maandalizi ya msimu (Pre Season) na wapi timu itakwenda kuweka kambi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story