Ahmed amesema wachezaji ni binadamu na wamepambana kwa kadiri walivyoweza lakini mwisho wa siku wamejikuta wanachoka na hilo ndilo limepelekea kufanya makosa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia mapumziko ya wiki mbili pamoja na mchezo wa Dabi ya Kariakoo.