Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed ataja sababu ya kupambana kuongoza kundi

19 Jan 2025

Ahmed ameyasema hayo mbele ya maelfu ya mashabiki wetu katika Viwanja vya Mwembeyanga Temeke baada ya kumalizika kwa mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine tulioibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Advertisement
Back to homepage
Share this story