Ahmed amesema miongoni mwa vitu anavyojivunia ni kuifanya Idara yetu ya Habari kuzidi kukubalika kwa Wanasimba pamoja na kuifanya Klabu kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amesimulia kila kitu tangu siku ya kwanza alipopata nafasi hii.