Ahmed amesema Mutale ni mchezaji wa daraja la juu ingawa hakuanza vizuri ndani ya kikosi chetu lakini sasa watu wanafurahi kuona anachokifanya.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia mechi zote nne za kiporo ambazo tumeshinda zote.