Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed asema ushindi umeanza kuwa kawaida kwetu

18 Dec 2024

Ahmed amesema Kocha Mkuu Fadlu Davids amekuwa akifanya mabadiliko ya kikosi mara kwa mara ili kuwapumzisha wachezaji kutokana na ugumu wa ratiba.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia mchezo unaofuata dhidi ya Kagera Sugar.

Advertisement
Back to homepage
Share this story