Simba Sports Club
News

VIDEO: Ahmed asema usajili wa Onana ni mwanzo, yajayo yanafurahisha

5 Jul 2023

Ahmed amesema Onana ni mchezaji mzuri na usajili wake tumelamba dume lakini nyota wengine tutakao watambulisha Wanasimba wakae mkao wa kula.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho ili kujua mipango ya usajili na vyuma vingine vitakavyofuata baada ya Onana.

Advertisement
Back to homepage
Share this story