Ahmed amesema tuna ratiba ngumu kutokana na timu kucheza mechi kila baada ya siku mbili hivyo tunachoangalia kupata pointi tatu bila kujali tumechezaje.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia mchezo unaofuata dhidi ya Tabora United.