Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed asema tunaenda Ruangwa kuvunja mwiko

17 Feb 2025

Ahmed amesema Namungo wameimarika kiuchezaji wakichagizwa na ujio wa kocha Juma Mgunda na pia tumeshindwa kupata ushindi dhidi yao kwa miwili kitupoteza kwenye mipango yetu tuliyokuwa tumejiwekea.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia maandalizi kamili ya timu kuelekea mchezo huo ambao utapigwa saa 12:30 jioni katika Uwanja wa Majaliwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story