Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed asema tumeyapa heshima mashindano ya Mapinduzi

2 Jan 2024

Ahmed amesema katika miaka ya karibuni michuano hii ilianza kupoteza ladha lakini msimu huu tumekuja kivingine na ndio maana tumekuja na kikosi kamili.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumza mambo mengi kuhusu mashindano haya mwaka huu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story