Ahmed amesema tuna kawaida yakutunza kumbukumbu kwa timu zinazotusumbua mwanzoni ili tukikutana nao tunawabadilikia na luwapiga mengi kama kilivyotokea kwa Pamba Jiji.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kiwango cha kiungo mshambuliaji, Joshua Mutale.