Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed asema timu imerejesha Imani ya ushindi

6 May 2024

Ahmed amesema hata mashabiki wameanza kujitokeza kwa wingi uwanjani ukilinganisha na mechi iliyopita dhidi ya Mtibwa Sugar kutokana nakuwa na imani na timu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed amezungumzia pia mchezo unaofuata dhidi ya Azam FC.

Advertisement
Back to homepage
Share this story