Ahmed amesema Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amepata nafasi ya kukiona kikosi chake vizuri na kuwajua wachezaji kwa undani katika kipindi cha wiki mbili tulichokuwa Zanzibar.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu usajili na nyota ambao tunatarajia kuwaacha kabla ya dirisha la usajili kufungwa.