Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed asema kila kitu kipo sawa kwa Power Dynamos Kesho

30 Sep 2023

Ahmed amesema hayo baada ya kutembelea mazoezi ya mwisho yaliyofanyika katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena leo jioni huku akisema maandalizi ya ndani na nje ya uwanja yamekamilika.

Tazama video hii hadi mwisho kuona mipango ya timu yetu kuelekea mchezo muhimu wa kesho.

Advertisement
Back to homepage
Share this story