Ahmed amesema wachezaji wote 23 tuliowasafiri nao wapo kwenye hali nzuri na maandalizi yote kwa ajili ya mchezo yamekamilika na matumaini ya kufuzu ni makubwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu kila kinachoendelea kuelekea mchezo wa leo.