Ahmed amekumbushia mchezo wa sare ya mabao 2-2 tuliopata dhidi ya Coastal msimu uliopita ni moja ya mechi ambayo ilichangia sisi kukosa ubingwa kitu ambacho hatutaki kitokee tena.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amefunguka mengi kuhusu mchezo huo.