Ahmed amesema licha ya ushindi mwembamba tuliopata nyumbani lakini sisi ni timu bora na tunaweza kwenda kushinda hata Afrika Kusini.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametoa ratiba nzima ya mchezo wa marudiano utakaopigwa Jumapili ijayo.