Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed amzungumzia Onana baada ya ushindi dhidi ya Wydad

19 Dec 2023

Ahmed amesema watu wengi walikuwa wanabeza usajili lakini sasa wataanza kumuimba hasa baada ya kuja kwa kocha Abdelhak Benchikha.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed amezungumzia pia mabadiliko aliyofanya Benchikha ya kuwaingiza Israel Patrick, David Kameta na Abdallah Khamis.

Advertisement
Back to homepage
Share this story