Ahmed amesema tulikuwa tunahitaji kupata aina ya Meneja kama Pantev ndio maana alivyoondoka kocha Fadlu Davids tukaona tumchukue raia huyo raia wa Bulgaria.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amesema tayari Meneja huyo ameanza kazi na leo jioni atakutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi.