Ahmed amesema kikosi chetu kimecheza vizuri na kila mchezaji aliyepata nafasi ameonyesha kiwango safi huku akiwataja Naby Camara na Wilson Nangu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia mabao yote matatu tuliyofunga pamoja na mchezo wa marudiano wiki ijayo.