Ahmed amesema watu wanamchukulia poa Matola lakini wanatakiwa kujua ni miongoni mwa makocha bora vijana wenye uwezo mkubwa hapa nchini na siku si nyingi atakuja kuwashangaza wengi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ameuchambua mchezo mzima dhidi ya Namungo.