Ahmed amesema Simba iliona ubora wa nyota huyo kijana na tuliamini anaweza kuwa msaada kwa timu ndio maana tumemsajili na matunda yake yameonekana.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumza pia kuhusu mipango ya timu.