Ahmed amesema Uongozi wa klabu uliona ubora wa nyota huyo raia wa Kenya ndio maana ulimvumilia katika kipindi chote cha miezi mitatu alichokuwa majeruhi.
Tazama video hii mpaka mwisho Ahmed ametaja rekodi zote ziliwekwa katika mchezo huo akiwataja Jonathan Sowah na Morice Abraham.