Ahmed amesema tunafahamu utakuwa mchezo mgumu kutokana na kila timu kutaka kujiweka kwenye nafasi nzuri kwakuwa Ligi inaelekea ukingoni.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia hali ya mlinda mlango Ayoub Lakred ambaye alipata maumivu katika mchezo uliopita dhidi ya Kagera Sugar.