Ahmed amesema kikosi kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC kama ilivyo kwa wageni Al Hilal na kila kitu kimeenda sawa kinachosubiriwa ni mchezo tu.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia wachezaji wa Kimataifa ambao wameitwa timu zao za Taifa.